SUSTAINABLE FINANCING
Service Charter
Service Charter - English
Service Charter - Kiswahili
Service Charter Audio
Service Charter - English
| S/No. | SERVICE/GOOD | REQUIREMENTS TO OBTAIN SERVICE / GOOD | COST OF SERVICE / GOOD (if any) | TIME FRAME |
|---|---|---|---|---|
| 1. | Response to enquiries by walk-in clients | Walk-ins | FREE | Within 10 minutes |
| Response to enquiry by phone calls/landline | Response to calls | FREE | Within 20 seconds | |
| Response to correspondence | Response to letters | FREE | Within 3 working days | |
| Response to emails | FREE | Within 2 working days | ||
| Response to social media (X, Facebook, Instagram, Linkedin, YouTube) | FREE | Within 2 working days | ||
| 2. | Apportionment of funds to universities | Submission of data returns on government sponsored students | FREE | Within 30 working days |
| 3. | Disbursement of scholarship | Submission of application for scholarship by the student | FREE | Within 30 working days |
| Submission of scholarship data returns on by the university | FREE | Within 30 working days | ||
| 4. | Scholarship award to undergraduate students | Submission of application for scholarship by the student | FREE | Within 30 working days after closure of the application platform |
| 5. | Resolution of scholarship appeals | Submission of application for appeal of scholarship award by the student | FREE | Subject to the appeal committee |
| 6. | Application of scholarships | Valid application requirements for eligible students | FREE | Before closure of the application platform |
| 7. | Resolution of public complaints | Submission of complaints through calls, emails, letters and physical visits | FREE | Acknowledgment within 1 working day and resolution within 14 days |
| 8. | Partnerships, Collaboration and Linkages | Proposal review and processing partnership proposal | FREE | Within 60 working days |
| Budget analysis to assess financial implications, resource planning, and risks in partnerships to promote the sustainability | FREE | Within 14 working days | ||
| The Board of Trustees will receive resources based on a signed Partnership deed, ensuring legal compliance, necessary approvals, and clear plans for utilisation and monitoring | FREE | Within 180 working days | ||
| 9. | Procurement of goods, works and services: REGISTRATION OF SUPPLIERS | Submit duly filled registration form with all valid registration requirements | FREE | Within 14 working days |
| Procurement of goods, works and services: TENDER PROCESSING | Submit bid for goods, works and services | FREE | Within 90 working days | |
| Procurement of goods, works and services: RECEIVING GOODS FROM SUPPLIER | Delivery note, invoice and goods | FREE | 1 working day | |
| Disposal of obsolete and unserviceable item | Submission of bids | FREE | Within 60 working days | |
| 10. | Payment for goods, services and works | Submission of invoices/delivery notes69. Submission of valid KRA Pin certificate and VAT/Tax compliance certificates | FREE | 21 working days |
| Payment of student scholarship | Submission of disbursement schedule report73. Submission of detailed disbursement schedule report | FREE | 10 working days |
Service Charter - Kiswahili
| NAMBARI | HUDUMA/BIDHAA | MAHITAJI ILI KUPATA HUDUMA/BIDHAA | GHARAMA YA HUDUMA/ BIDHAA (Iwapo ipo) | MUDA WA UTEKELEZAJI |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Kujibu maswali ya wateja wa kuingia ofisini bila miadi | Wateja wa kuingia ofisini bila miadi | Bure | Ndani ya dakika 10 |
| Kujibu maswali kupitia simu ya mezani | Majibu ya simu | Bure | Ndani ya sekunde 20 | |
| Kujibu Mawasiliano Rasmi | Majibu ya barua | Bure | Ndani ya siku 3 za kazi | |
| Majibu ya barua pepe | Bure | Ndani ya siku 2 za kazi | ||
| Kujibu maswali kupitia mitandao (X, Facebook, Instagram, Linkedin, YouTube) | Bure | Ndani ya siku 2 za kazi | ||
| 2 | Ugawaji wa fedha kwa vyuo vikuu | Uwasilishaji wa takwimu za wanafunzi wanaofadhiliwa na serikali | Bure | Ndani ya siku 30 za kazi |
| 3. | Utoaji wa ufadhili wa masomo | Uwasilishaji wa maombi ya mwanafunzi / taarifa kutoka chuo kikuu | Bure | Ndani ya siku 30 za kazi |
| Uwasilishaji wa taarifa za ufadhili wa masomo unaofanywa na chuo kikuu. | Bure | Ndani ya siku 30 za kazi | ||
| 4. | Kutoa ufadhili kwa wanafunzi wa shahada | Uwasilishaji wa maombi ya ufadhili unaofanywa na mwanafunzi | Bure | Ndani ya siku 30 za kazi baada ya kufungwa kwa jukwaa la kutuma maombi |
| 5 | Uamuzi wa rufaa za ufadhili | Uwasilishaji wa rufaa za ufadhili unaofanywa na mwanafunzi | Bure | Kulingana na Kamati ya Rufaa |
| 6 | Maombi ya ufadhili wa masomo | Mahitaji halali ya maombi kwa wanafunzi wanaostahiki | Bure | Kabla ya kufungwa kwa jukwaa la kutuma maombi |
| 7. | Kutatua malalamiko ya wananchi | Uwasilishaji wa malalamiko kupitia simu, baruapepe, barua au kutembelea moja kwa moja | Bure | Kukiri kupokea malalamiko ndani ya siku 1 ya kazi na utatuzi ndani ya siku 14 |
| 8. | Ubia, ushirikiano na Mahusiano | Mapitio na usindikaji wa mapendekezo ya ubia | Bure | Ndani ya siku 60 za kazi |
| Uchambuzi wa bajeti ili kutathmini athari za kifedha, upangaji wa rasilimali, na hatari katika ubia ili kukuza uendelevu | Bure | Ndani ya siku 14 za kazi | ||
| Bodi ya Wadhamini itapokea rasilimali kulingana na hati ya Ushirikiano iliyotiwa sahihi, kuhakikisha ufuataji wa sheria, idhini zinazohitajika na mipango wazi kwa matumizi na ufuatiliaji | Bure | Ndani ya siku 180 za kazi | ||
| 9. | Ununuzi wa bidhaa, kazi na huduma | USAJILI WA WAZABUNI: Wasilisha fomu ya usajili iliyojazwa kikamilifu pamoja na mahitaji yote halali ya usajili | Bure | Ndani ya siku 14 za kazi |
| USINDIKAJI WA ZABUNI: Wasilisha zabuni ya bidhaa, kazi na huduma | Bure | Ndani ya siku 90 za kazi | ||
| KUPOKEA BIDHAA KUTOKA KWA WAZABUNI: Maelezo ya usafirishaji, ankara na bidhaa | Bure | Siku 1 ya kazi | ||
| Uuzaji wa vifaa vilivyozeeka na visivyofanya kazi | Uwasilishaji wa zabuni | Bure | Ndani ya siku 60 za kazi | |
| 10 | Malipo ya bidhaa, huduma na kazi | Uwasilishaji wa ankara/maelezo ya uwasilishaji. Uwasilishaji wa cheti halali cha PIN ya KRA na Vyeti vya kufuata VAT/Kodi | Bure | Siku 21 za kazi |
| Malipo ya ufadhili wa masomo kwa mwanafunzi | Uwasilishaji wa ripoti ya ratiba ya utoaji fedha. Uwasilishaji wa ripoti ya kina ya ratiba ya utoaji fedha | Bure | Siku 10 za kazi | |
| Malipo ya ufadhili wa masomo kwa mwanafunzi | Uwasilishaji wa ripoti ya ratiba ya utoaji fedha. Uwasilishaji wa ripoti ya kina ya ratiba ya utoaji fedha | Bure | Siku 10 za kazi |
Service Charter Audio