Tenders

SUSTAINABLE FINANCING

Service Charter

S/No.SERVICE/GOODREQUIREMENTS TO OBTAIN SERVICE / GOODCOST OF SERVICE / GOOD (if any)TIME FRAME
1EnquiriesSubmission of enquiries through:
- Call
- Letter
- Email
- Physical visit
FREEWithin 48 hours upon receipt of request
2Provision of funding for financing universities- Submission of data returns on government sponsored students
- Letter of submission of data returns from the universities
FREE30 days from receipt of the request
3Issuance of conditional grants to private universities- Submission of an application for conditional grants
- Submission for proposal for conditional grants
- Submission of a detailed budget as per prescribed format
As prescribed by the Board from time to time30 days from receipt of the request
4Sourcing for grants- Submission of grant proposals which shall be aligned to national priority areas or included in the Integrated National Development Plan as prescribed by the Cabinet Secretary from time to time.As prescribed by the Board from time to time6 weeks
5Student scholarship applications and awards- Student KCSE No.
- Student KCPE No.
- Parent’s/ guardian’s details
- Student KUCCPS ID
- Name of the programme
- Name of the university
FREE60 days
6Student appeal- Student name
- Student KCSE no.
- Additional details missed in the application
FREE14 days
7Student scholarship disbursement- Name of university
- Course the student is taking
FREE21 days
8Resolution of public complaintsSubmission of complaints through:
- Call
- Letter
- Email
- Physical visit
FREE14 days
9Partnership, collaborations and linkagesSubmission of proposals on collaborative activities which promote the fulfilment of the UF mandateFREE3 Months
Outline the budget implication/responsibilities of proposed partnershipFREE1 week
10Procurement of goods and services- Submit prequalification documents
- Submit tender documents
- Submit request for proposals
- Request for quotation documents
- Delivery of goods and services
As per the PPRA ActAccording to tender requirements
11Payment for goods, services and works- Submission of invoices/delivery notes
- Submission of valid KRA Pin certificate and VAT/Tax compliance certificates
FREEOne (1) month
NAMBARIHUDUMA/BIDHAAMAHITAJI ILI KUPATA HUDUMA/BIDHAAGHARAMA YA HUDUMA/ BIDHAA (Iwapo ipo)MUDA WA UTEKELEZAJI
1MaswaliUwasilishaji wa maswali kupitia: - Kupiga simu
- Barua
- Baruapepe
- Kuwasilisha moja kwa moja/ana kwa ana
Bila malipoNdani ya masaa arobaini na nane (48) baada ya kupokea ombi
2Utoaji wa fesha kwa ufadhili wa chuo vikuu- Uwasilishaji wa marejesho ya data kuhusu wanafunzi wanaofadhiliwa na serikali
- Barua ya kuwasilisha marejesho ya data kutoka kwa vyuo vikuu
Bila malipoSiku thelathini (30) baada ya kupokea ombi
3Utoaji wa ruzuku ya masharti kwa vyuo vikuu vya kibinafsi- Uwalishaji wa maombi za ruzuku za masharti
- Uwalishaji wa pendekezo la ruzuku ya masharti
- Uwalishaji wa bajeti ya kina kulingana na muundo uliopendekezwa
Kama inavyoagizwa na halmashauri mara kwa maraSiku thelathini (30) baada ya kupokea ombi
4Upatikanaji wa ruzuku- Uwalishaji wa mapendekezo ya ruzuku ambayo yanalingana na sehemu zinazopewa kipaumbele katika taifa au kujumuishwa katika mpango wa maendeleo ya taifa kama inavyoigizwa na katibu wa baraza la mawaziri mara kwa maraKama ilivyoagizwa na halmashauri mara kwa maraWiki sita (6)
5Maombi ya udhamini wa masomo na tuzo kwa wanafunzi- Nambari ya usajili ya mwanafinzi ya KCSE
- Nambari ya mwanafunzi ya KCPE
- Maelezo ya wazazi/walezi
- Kitambulisho cha KUCCPS cha mwanafunzi
- Jina la programu
- Jina la chuo kikuu
Bila malipoSiku sitini (60)
6Rufaa ya wanafunzi- Jina la mwanafunzi
- Nambari ya mwanafunzi ya KCSE
- Maelezo ya ziada yaliyokosa katika ombi
Bila malipoSiku kumi na nne (14)
7Malipo ya udhamini- Jina la chuo kikuu
- Kozi inayosomewa na mwanafunzi
Bila malipoSiku ishirini na moja (21)
8Kusuluhisha malalamiko ya ummaUwalishaji wa malalamiko kupitia - Kupiga simu
- Barua
- Barua pepe Kuwasilisha moja kwa moja/ana kwa ana
Bila malipoSiku kumi na nne (14)
9Kuungana, ushirikiano na uhusiano- Uwalishaji wa mapendekezo kuhusu shughuli za kiushirikiano ambazo hukuza utimilifu wa mamlaka ya ufadhili wa vyuo vikuuBila malipoMiezi mitatu (3)
Kuelezea maana ya bajeti/majukumu ya ushirikiano uliopendekezwaBila malipoWiki moja (1)
10Ununuzi wa bidhaa na huduma- Wasilisha hati zifaazo za kuhitimu
- Wasilisha nyaraka za zabuni
- Wasilisha ombi la mapendekezo
- Ombi la hati za nukuu
- Utoaji wa bidhaa na huduma
Kwa mujibu kifungu cha PPRA (PPRA Act)Kulingana na mahitaji ya zabuni
11Malipo ya bidhaa, huduma na kazi- Uwasilishajiwa ankara/maelezo ya uwasilishaji
- Uwasilishaji wa cheti halali cha Ushuru (KRA PIN) na cheti kukudhi kulipa ushuru
Bila malipoMwezi mmoja (1)
Scroll to Top
Complaints Form
UNIVERSITIES FUND IS A CORRUPTION FREE ZONE. You can also report all corruption-related cases through our email "corruption.reporting@ufb.go.ke"

Report Details